Ujumbe wa Leo

Khatari ya kukopa

Hakika imekuja Shari’ah ya Kiislamu kwa makemeo makali sana kunako suala la madeni. Na kumtaka Muislamu ajitaahid kadri ya uwezo wake kuachana na tabia hiyo ambayo katika athari zake ni mtu kuwa dhalili kwa aliyemkopa nk. Imepokelewa kutoka kwa ‘Aaisha (ALLAAH Amridhi!) , kwamba Mtume (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) alikuwa akiomba dua katika swala zake:

Vitabu