02. Thawabu za kupiga mswaki


Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (Allaah amridhie), kwamba hakika Mtume wa Allaah (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) amesema:
“Lau nisingelikuwa naogopa kuwatia mashakani ummah wangu , basi ningewaamrisha kuswaki kila muda wa swala”.
Ameipokea ibn Hibbaan (1065).
Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd
Mtarjimu: duaatsalaftz.net
Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.3
Imehaririwa: 25R’thaaniy/1438H