05.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-04


Ama jina ‘Uthmān, pia lilikuwepo nyumbani kwa Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam).
Miongoni mwao ni:
▪’Uthmān bin Aliyy bin Abiy Twālib. Na mama yake anaitwa Ummul-Baniin Al-Kilābiyyah. Aliuawa pamoja na kaka yake ambaye ni Al-Husain Al-Shahiid sehemu iitwayo Al-Twif.
▪’Uthmān bin Yahya bin Sulaymān. Ni miongoni mwa dhuriya ya ‘Aliyy bin Al-Husain (Allāh awaridhie wote).

 

 

Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk. 6