09.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-08


2- Ajabu ni kuwa tunawakuta mashia wanajikurubisha kwa Allāh kwa tendo la kuwatusi Maswahaba wakubwa.
Wakiwemo Makhalifa watatu waongofu:
Abūbakr
‘Umar
‘Uthmān (Allāh awaridhie wote).
Na wala kamwe hatupati hata msuniy mmoja anayemtusi mmoja katika Ahlul-Bayt.
Bali wanajikurubisha kwa Allāh kwa tendo la kule kuwapenda wao.
Na hili ni katika yale wasioweza mashia kuyakana japo kwa uongo.
 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk. 9-10