10. Thawabu kwa mwenyekujenga msikiti kwaajili ya Allaah


Imepokelewa kutoka kwa ‘Uthmaan bin ‘Affaan (Allaah amridhie), amesema:
“Nimemsikia Mtume wa Allaah (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) akisema:
“Yeyote atakayejenga msikiti akitaka kuuona uso wa Allaah -‘azza wajalla- , Allaah atamjengea nyumba peponi”.
Ameipokea Bukhary (450) na Muslim (533).
Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd
Mtarjimu: duaatsalaftz.net
Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.5
Imehaririwa: 3’jumaadal-uwlaa/1438H