12.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-11


(5)- ‘Umar (Allāh amridhie) aliwakhitari watu sita watakaokaa shura baada ya kufariki kwake (ili wamchague mmoja kati yao awe Amiir), watatu miongoni mwao wakaachia ngazi, kisha akaachia ngazi ‘Abdurrah man bin ‘Awf, akabaki ‘Uthmān na ‘Aliyy (Allāh awaridhie).
Sasa kipi kimempelekea ‘Aliyy ashindwe kubainisha tangu mwanzo kuwa yeye ndo aliyeusiwa kwa ukhalifa!?
Je, alikuwa akimkhofu yeyote baada ya ‘Umar!?
 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk.11