19. Thawabu za kuswali rakaa mbili kabla ya al-fajiri


Imepokelewa kutoka kwa mama ‘Aaishah (Allaah amridhie), kutoka kwa Nabiyy (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) , amesema:
“Rakaa mbili za alfajiri (za sunnah) , ni bora kuliko dunia na vilivyomo”.
Na imekuja kwenye mapokezi mengine:
“Kwao wao (yaani waislam), zinapendeza zaidi kwao kuliko dunia kwa ujumla wake”.
Ameipokea Muslim (720).
Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd
Mtarjimu: duaatasalaftz.net
Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.8
Imehaririwa: 6’jumaadal-uwlaa/1438H