38. Thawabu kwa atakayesimama katika kisimamo cha ramadhani (tarawehe) kwa imani na kutaraji malipo


Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (Allaah amridhie) , kutoka kwa Nabiy (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) amesema:
“Yeyote atakayesimama (usiku wa) ramadhani kwa imani na kutaraji malipo, atasamehewa yaliyotangulia katika madhambi yake”.
Sahihi: ameipokea Bukhary (37), na Muslim (759).
Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd
Mtarjimu: duaatsalaftz.net
Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.13
Imehaririwa: 14’jumaadal-uwlaa/1438H