43.Masāili muhimu yanayofungamana na kuihakikisha لا إله إلا الله


(d).   Yeyote atakayeihakiki Shahādah ya لا إله إلا الله (Tawhiid), lakini ikatokea  kwake kuomba kusomewa Ruqya au kuumikwa, hakika mtu huyo ataingia peponi lakini atahesabiwa.
Na hilo ni kwa kuchukua ufahamu uliokuja katika hadithi.

لا يسترقون ولا يكتوون

“Hawawaombi watu wawasomee Ruqya wala kuwatibu kwa kuumika”.

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim:  http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah