50.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-03


(c).   Ni wajibu uwapendelee Waislam lile ulipendalo katika nafsi yako.
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam):

“لا يؤمن أحدكم حتى يحب لأخيه ما يحب لنفسه”

رواه الشيخان عن أنس رضي الله عنه

“Hawezi akawa ni muumini mmoja wenu (mkamilifu wa Iymān) mpaka ampendelee nduguye lile analolipenda katika nafsi yake”.
Ameipokea Bukhari na Muslim kutoka kwa Anas (Allāh amridhie).

 

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah