67.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-20


(t). Usimfanyie hasadi ndugu yako, wala usimpandishie bei, wala usimchukie.
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) katika hadithi ya Abū Hurayrah (Allāh amridhie):

“لا تحاسدوا ولا تناجشوا ولا تباغضوا ولا تدابروا”

رواه مسلم

“Msihusudiane, wala msipandishiane bei, wala msibughudhiane, wala msipeane migongo”.
Ameipokea Muslim.

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah