27. Thawabu kwa atakayekufa kwa maradhi ya kipindupindu/maradhi ya tumbo


Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Maalik (Allaah amridhie), amesema:
Nimemsikia Mtume wa Allaah (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) , akisema:
“Maradhi ya twaa’uun ni shahada kwa kila muislam (atakayekufa kwa maradhi hayo)”.
Sahihi: ameipokea Bukhary (2830), na Muslim (1916).
Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd
Mtarjimu: duaatsalaftz.net
Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.10
Imehaririwa: 9’jumaadal-uwlaa/1438H