07. Hivyo ni lazima muulizaji ahudhurishe (kichwani mwake) michanganuo ya maswali yake kabla ya kuuliza


Hilo ni kwasababu swali (lako) unaulizia kuhusu hukumu ya Allaah -jalla wa’alaa-, ambayo ukishaijua utakuwa umetoka katika ufuasi (ujinga).
Na muulizwa (ambaye ni ‘Aalim) , ni lazima mambo yawe wazi kwake, waila atajibu vipi jambo ambalo halipo wazi!?
Muhusika: Shaykh Swaalih Aalish-Shaykh
Mtarjimu: duaatsalaftz.net
Marejeo: adabus-suaal uk.14
Imehaririwa: 20’jumaadal-uwlaa/1438H