51. Thawbu za kutufu katika al-ka’bah na kugusa nguzo mbili (al-yamaaniyayn)


Imepokelewa kutoka kwa ‘Abdullaah bin Al-‘Abbas (Allaah awaridhie) , kwamba hakika Nabiy (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam) amesema:

“Kutufu (kuizunguka) ka’bah ni mithili ya kuswali , isipokuwa nyinyi katika kutufu mmeruhusiwa kuzungumza , basi yeyote atakayezungumza kwenye kutufu asizungumze ila ya kheri”.

Sahihi: ameipomea Al-Tirmidhiy (960), na ibn Hibban (3825), na ameisahihisha Al-Albaaniy katika “al-ir-waa” (1/154).

Muhusika: Ikhtiyaar ‘Ubayd

Mtarjimu: duaatsalaftz.net

Marejeo: miiraathun-Nabiyy uk.16

Imehaririwa: 23’jumaadal-uwlaa/1438H