14.Faida Katika Hadeeth ya Jibriyl-09


(7). Kujumuisha Mtoa fat’wah baina ya kutaja hukumu (ya jambo) na dalili yake.
Kwani ‘Abdullāh bin ‘Umar (Allāh amridhie) alitaja rai yake kuhusu wale watu na kujitakasa kwake kutokana na wao, kisha akajenga hoja juu ya hilo kwa hadithi ya Jibriil (‘alayhis-salaam) iliyotaja kuwa miongoni mwa misingi ya Iymān ni kuamini Qadar.

 

 

Muhusika: Shaykh ‘Abdul-Muhsin Al-‘Abbād Al-Badr
Mtarjim:http://duaatsalaftz.net/
Marejeo: sharh Hadithi Jibriil