45.Msingi wa al-walaa wal-baraa-02


(3).  Na kama mja atakuja na msingi huu wa al-walaa wal-baraa, lakini akawa anampenda Allāh na Mtume wake kama anavyoipenda nafsi yake, akawa hakuwapenda zaidi ya anavyoipenda nafsi yake.   Au akawa anampenda Allāh  na Mtume wake Lakini nafsi yake anaipenda zaidi ya vile anavyompenda Allāh na Mtume wake.  Kwa namna hii atahesabika mja huyu amepunguza kile kiwango cha Iymān iliyo wajibu kwake  na atapata dhambi kwani ni Faasiq.

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah