46.Msingi wa al-walaa wal-baraa-03


(4).  Kama mja atakuja na msingi (huu) wa al-walaa wal-baraa lakini akawa analichukia jambo katika Dini ya Allāh, huyu hatokuwa ni muumini, kwa sababu amelichukia jambo miongoni mwa mambo ya Dini ya Allāh, hata kama hilo alilolichukia ni katika mambo ya Sunnah, atakuwa ni murtad.
Kama alivyosema Allāh  Mtukufu:

ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَرِهُوا مَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ      ” محمد 9

“Hilo, ni kwa sababu wameyachukia yale aliyoyateremsha Allāh naye akazipomosha amali zao” Muhammad (09).

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah