55.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-08


(h). Mtie Nguvu ndugu yako muumini.
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) katika hadithi ya Abū Muwsā (Allāh amridhie):

“المؤمن للمؤمن كالبنيان يشد بعضه بعضا”

رواه الشيخان

“Muumini kwa Muumini mwenziwe ni sawa na jengo (moja) hutia nguvu upande mmoja kuutia nguvu mwengine”.
Ameipokea Bukhari na Muslim.

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah