56.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-09


(i). Usipose juu ya posa ya ndugu yako Muislam mpaka akuidhinishe au akataliwe.
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam):

“لا يسم المسلم على سوم أخيه ولا يخطب على خطبته”

رواه مسلم

“Asipatane Muislam juu ya mapatano (ya kibiashara) ya nduguye, wala asipose juu posa ya nduguye”.
Ameipokea Muslim.

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah