63.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-16


(p). Na wasalimike Waislam wenzako kutokana na ulimi na mkono wako.
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) katika hadithi ya ‘Abdillāh bin ‘Amr (Allāh amridhie):

“المسلم من سلم المسلمون من لسانه ويده”

رواه البخاري

“Muislam (wa kweli) ni yule ambaye watasalimika Waislam (wenzake) kutokana na ulimi wake na mkono wake”.
Ameipokea Bukhari.
 
 
Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim:http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah