65.Kuwapenda Waumini na Kuwanusuru na Tahadhari Juu ya Kukhalifu Hilo-18


(r). Usimkhini nduguyo Muislam wala usimdanganye, wala usimtelekeze (anapohitaji nusra).
Na hakika amesema Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) katika hadithi ya Abū Hurayrah (Allāh amridhie):

“المسلم أخو المسلم لا يخونه ولا يكذبه ولا يخذله..”

رواه الترمذي

“Muislam ni ndugu wa Muislam, hamfanyii khiyana, wala hamuongopei, wala hamtelekezi”.
Ameipokea Al-Tirmidhiy (sahihi).

 

 

Muhusika: Muhammad bin Shāmiy Shaybah
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Kitabu Tawhiidil-Ibādah