03.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-02


Wapo waliojiita kwa jina la ‘Umar
b) Ama kujiita ‘Umar, hili ni katika majina walilojiita kwa wingi sana Ahlul-Bayt, bali jina hili liliendelea kuitwa katika vizazi kumi na vinane kutoka katika dhuriya ya vitukuu viwili (Hasan na Husein) Allāh awaridhie.
Na katika hao:
▪’Umar Al-Atraf bin ‘Aliyy.[1]
▪’Umar bin Al-Hasan aliyeuawa pamoja na Al-Husain (Allāh amridhie).[2]
▪’Umar bin Husain Al-Shahiid.
▪’Umar Al-Ashraph bin ‘Aliyy Zaynul-‘Aabidiin.
▪’Umar (Al-Shajriy) Ibn ‘Aliyy Al-Asghar Ibn ‘Umar Al-Ashraph bin Zaynul-‘Aabidiin.

 

 

————————

[1] كشف الغمة في معرفة الأئمة لعلي الأربلي ٦٦/٢
[2] الإرشاد للمفيد ص ١٩٧

 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk.5