04.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-03


Ahlul-Bayt kujiita kwa jina la Twalha:[1]
▪Twalha bin Al-Hasan kijukuu (Allāh amridhie). Na mama yake ni Ummu Is-Hāq bint Twalha bin ‘Ubaydillāh (Allāh amridhie). [2]
▪Twalha bin Al-Hasan Al-Muthallath bin Al-Hasan Al-Muthanna bin Al-Hasan kijukuu (Allāh amridhie).
———————-
[1]. Na kama kuna Maswahaba wa Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) wanaochukiwa zaidi na shia pamoja na kutupiwa tuhuma nzito za kumzini ‘Aisha, mke wa Mtume wa Allāh (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam), ni huyu Twalha bin ‘Ubaydillāh.

[2] الإرشاد للمفيد ص ١٩٤

 
 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk. 6