11.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-10


(4)- Ni kipi walichokifaidi Abūbakr na ‘Umar (Allāh awaridhie) katika ukhalifa wao?
Kwa sababu hawakujenga makasri, wala hawakurithi mali, wala hawakuuweka ukhalifa kwa vizazi vyao. Bali ‘Umar (Allāh Amridhie) amewateua watu sita kwaajili ya kukaa shūraa (baada yake kuchagua Amiir baada yake), na akausia kwamba asishike wadhifa wa ukhalifa yeyote miongoni mwa familia ya A-Khattwāb abadan.
 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk. 10