15.Ujumbe kwa Wapenzi wa Ahlul-Bayt-14


8- Baada ya kufariki kwa Mtume (swalla Llāhu ‘alayhi wasallam) alitawala ukhalifa Abūbakr, kisha ‘Umar kisha ‘Uthmān (Allāh awaridhie), na hawa huzingatiwa na shia kuwa ni wapotevu, madhalimu, makafiri, waliowapora Ahlul-Bayt haki yao.
Je, akina ‘Aliyy na ‘Ammār na Salmān pamoja na Miqdād hawakuwahi kuswali nyuma ya hawa?
Na je, kwa mujibu wa itikadi ya shia inaswihi swala nyuma ya mtu fāsiq? achilia mbali kuwa ni nāswib[1] au kafiri!?

 

 

——————-
[1] ni adui wa Ahlul-Bayt.

 
 
Muhusika: El-Bāhithiin Fil-Muntaqaa
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net
Marejeo: Ilaa Muhibbiy Aalil-Bayt Uk. 12