05.Kumwokoa Mfamaji na Kuangaza Njia


4- Ni upi msimamo wa Ahlus-Sunnah dhidi ya Rawaafidh pamoja na Nawaasib?
Jibu- Wanajitakasa na kujiweka mbali kutokana na njia za Rawaafidh (shia) ambao wanawachukia Maswahaba na kuwatusi. Pia kutokana na njia Nawaasib ambao wanawaudhi Ahlul-Bayt kwa maneno (yao) au matendo.[1]

 

———————–
[1] Na utakapomuona mtu katika Ahlus-Sunnah, awe mshaafiy, mhanafiy, mmaalikiy, mhambali, anawapenda mashia na kuwatetea, basi fahamu kuwa hatoki katika mmoja wa wawili; ima mjinga au mtu wa matamanio ya nafsi. Akiwa mjinga basi huyu dawa yake ni rahisi anaelimishwa, akiwa ni mtu wa matamanio ya nafsi, huyu hutokuwa na ujanja kwake wala hila zaidi Mola wake amdiriki tu kwa rehma zake.
 
 
Muhusika: Ibn Taymiyyah Al-Harrāniy
Kiunganishi: http://duaatsalaftz.net/category/makala/kumwokoa-mfamaji/
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net/
Marejeo: Al-Wāsitwiyyah Uk. 201
Imehaririwa: 11 Swaffar /1441H