09.Kumwokoa Mfamaji na Kuongoza Njia


8- Ni ipi hakika ya Tawhiid?
      Jibu- Hakika ya Tawhiid: Ni kumwabudu Allāh peke yake, asiombwe ila yeye tu, asiogopewe ila yeye tu, asitegemewe ila yeye tu, na kusipatikane Dini nyingine zaidi ya Dini yake tu, isiwepo Dini ya yeyote katika viumbe, na wala tusiwafanye Malaika na Manabii kuwa ni waungu. Vipi itakuwa hali kwa wale wanaowafanya Maimamu, Masheikh na Ma’ulamaa pamoja na wafalme na wengineo (kuwa ni Waungu)?.
 
 
 
Muhusika: Ibn Taymiyyah Al-Harrāniy
Kiunganishi: http://duaatsalaftz.net/category/makala/kumwokoa-mfamaji/
Mtarjim: http://duaatsalaftz.net/
Marejeo: Minhaaj Jz 3, S 490.
Imehaririwa: 12 Swaffar/1441H