Kuvua Viatu Makaburini


Swali:
Naomba Ufafanuzi kuhusu kuvua viatu makaburini?
Jawabu:
Kuvua viatu makaburini limethibiti hilo lakini sio lazima hasa kama utachelea kuumizwa na miba mawe vigae nk waweza kuvaa na epuka kukanya juu ya kaburi. wallahu a’alam
Muhusika: duaatsalaftz
Chanzo: www.duaatsalaftz.net
Imehaririwa: 12/10/2016