Maana Ya Shia Na Muanzilishi Wake?


Swali:
Shia ni nani na nani muanzilishi wake?
Jawabu:
Shia ni wale ambao wanamfadhilisha Aliyy bin Abiy Twaalib (ALLAAH Amridhi?) juu ya Makhalifa watatu
Abuubakr, ‘Umar, ‘Uthmaan (ALLAAH Awaridhi!).
Na kuitakidi kuwa Aliyy Bin Abiy Twaalib ni bora kuliko hao.
Na kuitakidi kuwa utume ulistahiki kwa Aliyy kuliko kwa Muhammad (swalla Llaahu ‘alayhi wasallam).
Na kuitakidi kuwa Qur’an hii tuliyonayo imetiwa mikono na kubadilishwa.
Na kuitakidi kuwa Mola yule ambaye Qur’aan hii tuliyonayo ni maneno yake, na Muhammad ni Mtume wake huyo si Mola wao bali Mola wao ni yule ambaye Mtume wake ni Aliyy na Qur’an yake ipo Sirdaab (mapangoni).
Na muanzilishi wake ni Myahudi mmoja aliyetokea pande za Yemen , aliyesilimu kwa njama za kuuhujumu Uislamu na kuufanyia vitimbi.
Anaitwa Abdullaah bin Sabai Al-Yahuudiy.
والله ولي التوفيق
Muhusika: duaatsalaftz
Chanzo: www.duaatsalaftz.net
Imehaririwa: 27/10/2016