Milio(ringtones) Katika Simu


Swali:
Kuna uhalali wa ringtone kwenye simu zetu, na kama hakuna uhalali kwamba muziki yote ni haramu..vp tunaswali na masimu yenye miziki mifukoni mwetu..Je swala zitakubaliwa kwa hali hii…??
Jawabu:
Kuhusu swali ringtone zile ambazo sio mziki bali ni kengele tu za kawaida hazina neno kutumia. Na kama zina mziki ambayo haifutiki na ikawa hukuuweka kama mwito wa simu yako unapopigiwa nk,
Si vibaya kuswali na simu hiyo ikiwa mfukoni muda wa kua haipigi huo mziki.
NB.WEKA MLIO WA KAWAIDA KTK SIMU YAKO USIOKUA NA MWELEKEO WA NYIMBO UTASALIMIKA NA SHUBHA.
Wallahu a’alamu.
Muhusika: duaatsalaftz
Chanzo: www.duaatsalaftz.net
Imehaririwa: 12/10/2016