Wengi Walio Pamoja Na al-Ikhwaan al-Muslimuun Wako Nao Kwa Maslahi Ya Kidunia


Baada ya hapo wameuliza maswali muhimu. Baadhi ya maswali hayo yanahusu jumuiya na mengine yanahusu al-Ikhwaan al-Muslimuun. Ni katika fadhila za Allaah ujiwekaji mbali kutokamana na al-Ikhwaan al-Muslimuun umekuwa ni mkubwa iwezekanavyo. Naweza kuapa kwa Allaah ya kwamba wengi ambao wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun wako nao kwa ajili ya tu ya maslahi ya kidunia. Wengi walionao wako nao kwa ajili ya maslahi ya kidunia.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=27
Toleo la: 24.04.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com